Maelfu ya wakenya wajitokeza kutafuta kazi kwa kampuni ya Qatar baaada ya kutangazwa na serikali

  • | NTV Video
    280 views

    Maelfu ya wakenya walijitokeza kutafuta kazi kwa kampuni iliyotoka nchi ya Qatar baada ya serikali kutangaza kuwepo kwa kazi nchini humo. kulingana na waziri wa leba, Alfred Mutua, kampuni hii itawapa wakenya zaidi ya nafasi elfu nane za ajira

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya