Wahudumu wa afya chini ya watishia kusitisha utoaji huduma kuanzia tarehe 23 mwezi huu

  • | K24 Video
    29 views

    Wahudumu wa afya chini ya muungano wa KUCO wametishia kusitisha utoaji huduma kuanzia tarehe 23 mwezi huu kufuatia kuanzishwa kwa bima ya afya ya jamii ambayo wanadai ina ubaguzi. Wakiandamana nje ya jengo la wizara ya afya, wameitaka bodi ya bima ya afya jamii sha itengenezwe upya wakidai ina ufisadi. Wakati huohuo madaktari wanagenzi wa muungano wa kmpdu waliojiunga nao katika maandamano ya leo wameitaka wizara ya afya kutoa fedha walizoahidiwa ili wapokee mishahara yao ya miezi minne iliyochelewesha au wajiunge na wenzao katika mgomo huo.