Ajuza mmoja kutoka Eneo la Kapcherop Kaunti ya Elgeyo Marakwet amemtaka jaji Mkuu Martha Koome

  • | Citizen TV
    495 views

    Ajuza mmoja kutoka Eneo la Kapcherop Kaunti ya Elgeyo Marakwet amemtaka jaji Mkuu Martha Koome kuingilia kati ili kutatua mzozo wa ardhi ambayo anadai kuachiwa na mamake kama urithi.