Azma ya Raila AUC

  • | Citizen TV
    2,839 views

    Rais William Ruto na Rais wa Uganda Yoweri Musevenu wana imani kuwa Raila Odinga ataibuka mshindi kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa baraza la muungano wa afrika- AUC- katika uchaguzi utakaofanyika Februari mwaka huu. Katika hafla ya kitamaduni maarufu kama piny luo - iliyokamilika leo katika kaunti ya Siaya, marais hao wawili wamesema kuwa Odinga ataleta mabadiloko Afrika iwapo atachaguliwa.