Baadhi ya viongozi kutoka eneo la Gusii wamemwomba Rais Ruto na serikali yake kufanya na KUPPET

  • | Citizen TV
    204 views

    Viongozi hao wameisuta serikali kwa kutochukulia kwa uzito unaofaa malalamishi ya walimu wanaogoma na kutafuta mwafaka. Mgomo wa walimu hao unaendelea wiki hii huku wakisusia kazi na kuandamana barabarani katika maeneo tofauti nchini.