Bei mpya ya mbegu za mahindi yapingwa

  • | KBC Video
    47 views

    Wakuzaji wa mbegu za mahindi humu nchini wanaitaka serikali kukadiria upya bei iliyotangazwa hivi majuzi ya mbegu hizo wakitahadharisha kuwa huenda wakapata hasara kubwa. Wizara ya kilimo imefanyia mabadiliko bei ya mbegu za mahindi kwa nia ya kuhakikisha wakulima wataweza kuimudu kabla ya kuanza kwa msimu wa upanzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive