Biashara I Kiwanda cha usindikaji wa samaki kwenye ziwa Viktoria kujengwa

  • | KBC Video
    8 views

    Mipango inaendelea ya ujenzi wa kiwanda cha usindikaji wa samaki kwenye ufukwe wa ziwa Viktoria ili kuimarisha mapato kwa wavuvi na kuchangia ukuaji wa uchumi wa eneo hilo. Gavana wa kaunti ya Kisumu Profesa Anyang Nyong’o amesema kiwanda hicho kitatoa huduma za matumizi ya majokofu, usindikaji wenye ongezeko la thamani, msaada wa vifaa pamoja na suluhu kwa udhibiti wa taka. Hizi na taarifa nyingine ni katika mkusanyiko wa kapu la biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive