Biashara I Wabunifu na wavumbuzi washauriwa kusajili kazi zao

  • | KBC Video
    45 views

    Wabunifu na wavumbuzi wanafaa kulipa kipaumbele suala la usajili wa kazi zao ili kuzilinda dhidi ya kuhitilafiwa kwa hakimiliki zao. Afisa mkuu mtendaji wa Factor Y Dkt. Kevit Desai pia anawashauri wavumbuzi kushirikiana na wenzao waliojistawisha ili kuimarisha ujuzi wao

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive