- 62 viewsDuration: 2:03Tume ya maadili na kukabilianana ufisadi hapa nchini EACC inaishutumu ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa kuhujumu vita vyake dhidi ya Ufisadi kwa kuondoa kesi zilizowasilishwa kwake bila kuhusisha tume hiyo. Tume hiyo ilikuwa imealikwa kuelezea masuala kadhaa ya matumizi ya pesa yaliyowasilishwa na mkaguzi mkuu wa matumizi ya pesa za serikali katika kaunti mbali mbali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive