Hamasa kuhusu saratani ya matiti inaendelea

  • | Citizen TV
    231 views

    Mwezi wa Oktoba huwa mwezi wa kuweka hamazisho ya saratani ya matiti kote duniani, Leo ikiwa siku ya mwisho ya maadhimisho ya hamasisho hii mwaka huu wa 2024, katika kaunti ya Nakuru hospitali ya Rufaa ya Nakuru wametembelea jela ya wanawake ya Nakuru kwa lengo la kuwapima saratani ya matiti.