Hati ya kukamatwa kwa viongozi wa Israel na Hamas ina maana gani?

  • | BBC Swahili
    2,113 views
    Hati ya kukamatwa kwa viongozi wa Israel na Hamas ni hatua kubwa katika mapigano yanayoendelea Gaza. Lakini hatua hii ina maana gani kwa mgogoro huo na usimamiaji wa sheria za kimataifa? Mwandishi wa BBC Sammy Awami anaelezea 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #gaza #hamas Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw