Ifahamu China: Maonesho ya kibiashara

  • | KBC Video
    21 views

    Mkoa wa Hunan nchini China umeanzisha ukumbi maalum wa kudumu wenye ukubwa wa mita elfu kumi mraba kwa ajili ya Maonesho ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika. Ukumbi huu unalenga kuimarisha biashara kati ya pande hizo mbili, ukiwa kama jukwaa la kuunganisha biashara nyingi na kuonyesha bidhaa za kipekee kutoka Afrika, hivyo kubuni fursa zaidi za kiuchumi na ushirikiano.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive