Jacinta Wairimu Njoroge anawalea watoto Nakuru, alianzisha kituo cha kuwsitiri mayatima

  • | Citizen TV
    124 views

    Jacinta Wairimu Njoroge anawalea watoto Nakuru, alianzisha kituo cha kuwsitiri mayatima, Jacinta huandalia watoto chakula bila malipo familia nyingi eneo hilo zimeathirika na pombe