Wakaazi Isiolo walalamikia mwitikio wa polepole wa serikali kudhibiti moto wa Nyika

  • | NTV Video
    158 views

    Wakaazi wa kaunti ya Isiolo wameeleza kutoridhishwa na mwitikio wa polepole wa serikali katika kudhibiti moto wa Nyika ambao umeteketeza takriban ekari 200,000 za malisho.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya