Skip to main content
Skip to main content

Je nani anamiliki aktiki?

  • | BBC Swahili
    12,583 views
    Duration: 1:15
    Nchi nane zina ardhi ndani ya Duara la Aktiki, zikiwemo Marekani na Urusi. Mataifa haya mawili yanaongeza uwepo wao katika eneo la Aktiki, licha ya juhudi za kulifanya eneo hilo lisiyo la kijeshi baada ya Vita Baridi. Maswali kuhusu nani anayepaswa kudhibiti Aktiki yanahusiana moja kwa moja na sababu ya kwa nini eneo hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayogombaniwa zaidi duniani. 🎥: @frankmavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw