Jinsi mapigano nchini DRC ilifanya Raila apoteza kiti cha AUC

  • | Citizen TV
    7,704 views

    Barua Ya Mataifa Ya Jumuiya Ya Bishara Ya Afrika Kusini Sadc Kuwataka Wanachama Wake Kumpigia Kura Mgombea Wa Madagascar Pamoja Na Wingi Wa Kura Za Mataifa Yanayozungumza Kifaransa Zilichangia Kuanguka Kwa Raila Odinga Kwenye Uchaguzi Wa Mwenyekiti Wa Tume Ya Umoja Wa Afrika Hapo Jana. Kushindwa Kwa Raila Ni Safari Ya Pili Kwa Kenya Kupoteza Kiti Hicho Katika Muda Wa Miaka 8, Licha Ya Kuwa Na Wagombea Wenye Haiba Ya Juu, Kama Anavyoarifu Emmanuel Too,