Kaunti na vyuo zinadaiwa shilingi milioni 600

  • | Citizen TV
    140 views

    Serikali za kaunti na vyuo vikuu vinadaiwa shilingi milioni 600 na wafanyikazi wake ambayo ni makato ya kuwasilishwa kwa vyama vya ushirika. Deni hilo limetajwa kuvuruga shughuli kwenye vyama hivyo .