Msafara wa Sambaza Furaha na Safaricom wazuru mitaa ya Kahawa Sukari, Githurai 45 na 44

  • | Citizen TV
    165 views

    Kwa siku ya pili msafara wa Sambaza Furaha na Safaricom uliendeleza kampeni yake katika jiji la nairobi huku wakazi wa maeneo ya kahawa sukari, Githurai 45 na Githurai 44 wakijitokeza kwa wingi na kujishindia zawadi mbalimbali. Gatete njoroge aliandamana na msafara huo uliofanikishwa kwa ushirikiano na kampuni ya Royal Media Services.