Shirika la Ushirika Wema lataka serikali kuwakumbuka walemavu

  • | Citizen TV
    33 views

    Huku dunia ikiendelea kuadhimisha siku ya walemavu, mashirika mbali mbali nchini Kenya yameitaka serikali kuwapa watu wanaoishi na ulemavu kipaumbele kwa kuweka mikakati mbadala ya elimu ili kuhakikisha wanapata masomo ya kutosha na yanayofaa.