Waziri wa mazingira Aden Duale ametoa wito kwa jamii ya kimataifa

  • | Citizen TV
    60 views

    Waziri wa mazingira Aden Duale ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuelekeza fedha zaidi kwa ubunifu wa kiteknolojoa katika kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi zinazosababisha maeneo kame kusambaa zaidi ulimwenguni.