Walemavu wa Samburu wataka watengewe 5% ya ajira

  • | Citizen TV
    29 views

    Watu wenye ulemavu katika kaunti ya samburu,wanaituhumu serikali ya kaunti ya samburu kwa kukiuka utekelezaji wa hitaji ya kikatiba ya kuwatengea asilimia tano ya nafasi za ajira serikalini . Mwanahabari wetu bonface barasa anaarifu zaidi.