Serikali ya uingereza yaahidi kutoa usaidizi wa kiusalama

  • | Citizen TV
    112 views

    Serikali ya Uingereza itaendelea kutoa usaidizi kwa serikali ya Kenya kwenye juhudi za kuimarisha hali ya usalama katika eneo la Kaskazini Mashariki.