Wakazi wabomolewa makazi yao mwamdudu Kinango, Kwale

  • | Citizen TV
    192 views

    Wakazi waliobomolewa makazi yao katika eneo la Mwamdudu huko Kinango kaunti ya Kwale miaka 4 iliyopita wanataka serikali kuwarejeshea ardhi wanayodai ni yao.