Kaunti ya Kitui yashirikiana na benki ya dunia katika mradi wa kujenga bwawa

  • | Citizen TV
    398 views

    Serikali ya kaunti ya kitui kwa ushirikiano na benki ya dunia imeanzisha ujenzi wa mabwawa ya maji katika Kaunti hiyo.