Kenya kuwa kitovu cha utengenezaji chanjo

  • | KBC Video
    10 views

    Kenya imeteuliwa kuwa kitovu cha mradi wa utengenezaji chanjo kanda hii, hatua ambayo itapiga jeki utengenezaji wa chanjo humu nchini. Akiongea wakati wa hafla ya kutiwa saini kwa mkataba wa maelewano na taasisi ya kimataifa ya utengenezaji chanjo-IVI, waziri wa afya Deborah Barasa alisema ushirikiano huo ni hatua muhimu ya utengenezaji na utekelezaji wa miradi ya utoaji chanjo, ambaypo inatarajiwa kuimarisha uafikiaji wa mpango wa afya bora kwa wote humu nchini na kufanikisha huduma za afya duniani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive