Kijana aliyedungwa kisu mara 27 azikwa nyumbani kwao Kisii

  • | Citizen TV
    1,085 views

    Kijana aliyedungwa kisu mara 27 na mpenziwe na kufariki amezikwa katika kaunti ya Kisii hii leo. Familia ya Conrad Nyabuto, sasa ikililia haki kwa mwanawao aliyepatikana ameuawa eneo la Ruiru Kaunti ya Kiambu.