'Kila ninapoona madaktari wakiandamana nakumbuka mtoto wangu"

  • | BBC Swahili
    331 views
    Kufuatia mgomo wa Madaktari uliokuwa ukifanyika nchini Kenya kwa zaidi ya mwezi mmoja, Familia ambazo zilikuwa zikitegemea hospitali za serikali kwa matibabu ndizo zilizoathirika zaidi. Kassim na Rophine walipoteza mtoto wao katika mgomo huo uliositishwa Jumatano baada ya siku 56 za kugoma. Na hii ni simulizi yao. #bbcswahili #kenya #mgomowamadaktari Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw