Kindiki amtaka Raila kuendeleza ushirikiano wake na Ruto licha ya kushindwa kwenye uchaguzi wa AUC

  • | Citizen TV
    4,117 views

    Hisia zimeendelea kufuatia kushindwa kwa Raila Odinga kwenye kinyang'anyiro cha kuwania uwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika. Naibu Rais Kithure Kindiki sasa akimtaka Raila kuendeleza ushirikiano wake na rais William Ruto licha ya kushindwa kwenye uchaguzi huo. Kamau Mwangi anaarifu huku aliyekuwa naibu rais na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka pia wakitoa hisia zao