Kizazaa kilizuka ndani ya kanisa la Nyabururu baina ya washiriki na maafisa wa polisi

  • | Citizen TV
    3,504 views

    Kizazaa kilizuka Jumatano ndani ya kanisa Katoliki la Nyabururu kule Kisii baina ya washiriki na maafisa wa polisi waliokuwa wakifuata gari la matatu kutoka Suneka hadi ndani ya kanisa hilo.