Mshukiwa wa wizi auawa Kakamega

  • | KBC Video
    34 views

    Mshukiwa mmoja aliuawa na umati uliokuwa na hamaki katika siko la Tombo lililoko eneo la Malava, kaunti ya Kakamega baada ya kushukiwa kuhusika katika msururu wa visa vya wizi.Chifu wa kata ya Silungai Harrison Jacob Muyundo alithibitisa kuwa mshukiwa huyo alikuwa mzaliwa wa eneo la Kamukuywa katika kaunti ya Bungoma lakini alikuwa anaishi na mjombake katika kaunti ya Kakamega.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive