KUDHEIHA yahimiza serikali kuwazia upya maslahi ya wafanyikazi shuleni

  • | KBC Video
    36 views

    Chama cha wafanyakazi wa nyumbani, hotelini, taasisi za elimu na hospitali (KUDHEIHA) kinatoa wito kwa wizara ya elimu kuzingatia uamuzi wake wa kuwasimamisha kazi wafanyakazi wa ngazi za chini wanaofanya kazi katika shule za upili za umma nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive