Kwaheri Malkia Janet Wanja

  • | Citizen TV
    1,823 views

    Ibada wa kumpa mkono wa buriani aliyekuwa seta wa timu ya taifa ya voliboli kwa wanawake janet wanja imefanyika katika uwanja wa kasarani hapa nairobi kabla ya mazishi hapo kesho. Wanja, aliyeaga dunia disemba 26 kutokana na saratani ameombolezwa kwa ustadi aliokuwa nao aliposhiriki mchezo huo.mwanaspoti wetu luqman mahmoud na taarifa kamili.