Maafa Barabarani Kerugoya

  • | Citizen TV
    1,212 views

    Watu wanne wakiwemo wanafunzi wawili wamefariki kwenye ajali mbili tofauti huku wengine saba wakijeruhiwa kaunti ya Kirinyaga. Katika kisa cha kwanza, mama na mwanawe walifariki baada ya kuruka kutoka kwenye matatu iliyokatika breki huku wanafunzi wawili wakifariki kwenye ajali ya pikipiki. haya ni huku tume ya kupambana na ufisadi - EACC- ikiwakamata maafisa tisa wa trafiki kwa kuwatoza madereva hongo katika kaunti za Nakuru, Kajiado na Kisii.