Maafisa wa Kaunti ya Nyamira wakamatwa kwa ufisadi

  • | Citizen TV
    328 views

    Maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC wamewakamata maafisa wanne wakuu wa zamani katoka Kaunti ya Nyamira kufuatia madai ya ufisadi katika sakata ya kuajiri watu 56 katika idara ya utamaduni Kaunti hiyo