Maaskofu Kajiado watetea sadaka iliyotolewa na rais

  • | Citizen TV
    209 views

    Kundi la maaskofu kutoka makanisa mbali mbali Kaunti ya Kajiado wamekosoa wakenya wanaolalamikia sadaka ya shilingi milioni 20 iliyotolewa na Rais William Ruto kwa kanisa la Jesus Winner Ministry eneo la Roysambu.