Madhehebu manane kushirikisha raslimali zao

  • | KBC Video
    13 views

    Madhehebu manane chini ya mwavuli wa ushirikishi wa makanisa na jamii yameungana kupiga vita ufukara na kuimarisha maisha ya jamii. Madhehebu hayo ni pamoja na kanisa la Kianglikana, kanisa la African Brotherhood. kanisa la African Christian Church and Schools, African Inland, African Interior Church, kanisa la Friends, Pentecostal Evangelical Fellowship of Africa na Redeemed Gospel. Makanisa hayo yanaangazia masuala sita yakiwemo ushirikishaji kanisa na jamii, uchumi na mazingira, udumishaji amani na uwiano, uhusiano wa kijamii na jamii na uwajibikaji. Askofu Samson Gachathi amesema ushirikiano huo utaleta mabadiliko makubwa katika jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News