Mafunzo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

  • | Citizen TV
    104 views

    Serikali ya Kaunti ya Bungoma imeshirikiana na washikadau mbalimbali wa kilimo Kaunti hiyo kuhakikisha wakulima wanapata maarifa ya kupanda na kuvuna mazao mengi wakati huu wa mabadiliko ya tabia nchi