Mahakama yatangaza Azimio kuwa chama cha wengi bungeni

  • | KBC Video
    341 views

    Mahakama kuu imetangaza Azimio la Umoja One Kenya Alliance kuwa muungano wa walio wengi katika bunge la taifa. Kwenye uamuzi wa kihistoria, Jopo la majaji watatu, John Chigiti, Lawrence Mugambi na Jairus Ngaah liliamua kuwa Kenya Kwanza sio mrengo wa walio wengi, likitaja kuwa spika wa bunge la taifa alikiuka katiba alipotoa uamuzi huo tata mnamo mwaka 2022.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive