Malefu ya wakenya wapoteza ajira kufuatia kampuni mia tatu kufungwa

  • | K24 Video
    67 views

    Malefu ya wakenya wamepoteza ajira kufuatia kampuni mia tatu kufungwa na zaidi ya mia moja hamsini kuonyesha nia ya kufunga. kulingana na chama cha wazalishaji bidhaa nchini (KAM), serikali inapaswa kwa dharura kuangazia suala la ushuru wa juu, bei ya umeme na kudhibiti bidhaa zinazoagizwa kutoka mataifa ya nje ili kukumboa kampuni ambazo huenda zikafungwa mwa huu hali itakayoathiri uchumi.