Mashindano ya uogeleaji Mombasa

  • | Citizen TV
    220 views

    Stephen Ndegwa wa timu ya bandari aliweka rekodi mpya ya kuogelea mita 100 mtindo wa butterfly kwa wanaume kwenye mashindano ya kati ya vilabu yalioandaliwa katikashule ya Aga khan Mombasa.