Mashirika ya mazingira na wakaazi pia walishirikishwa

  • | Citizen TV
    126 views

    Jeshi la wanamaji kwa ushirikiano na wananchi na mashirika mbalimbali ya kijamii wameshiriki zoezi la kusafisha mazingira kwenye fuo za bahari eneo la Matondoni Kisiwani Amu kaunti ya Lamu