Wakimbizi kutoka DRC wateseka nchini Burundi, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    13,741 views
    Mpango wa kuwasafirisha watu waliokimbia vita nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo hadi kambi za wakimbizi nchini Burundi unaendelea. Serikali ya Burundi tayari imewasafirisha maelfu ya waCongomani waliokuwa wakiishi katika kambi ya muda ya wakimbizi katika uwanja wa Rugombo hadi eneo la Rutana. Hata hivyo mpango huu umekumbwa na utata huku baadhji ya wakimbizi wakipinga na kutaka kurejeshwa nyumbani au kupewa hifadhi katika eneo ambalo ni karibu na nyumbani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw