Matarajio ya wakenya kwa Serikali mwaka mpya 2025

  • | Citizen TV
    797 views

    Wakenya wanapotathmini hali itakavyokuwa mwaka huu, Baadhi ya wafanyabiashara wameitaka serikali kupunguza mzigo wa ushuru ili kuwapa afueni na kukomesha ufisadi serikalini. Haya ni hukiu vijana wakiitaka serikali kuwasikiza na kuwajibika zaidi kwa kutimiza ahadi zake. Wakati huo huo, Naibu rais profesa Kithure Kindiki amewaahidi wakenya kuwa maisha yataimarika mwaka huu kwani serikali imeweka mikakati kambambe ya kuimarisha hali ya uchumu.