Mkurugenzi Mwandamizi wa Idara ya kupambana na ugaidi ya serikali ya Marekani Sebastian Gorka anasema: “Tishio la Jihadi duniani limeongezeka sana. Tunapambana nalo kwa rasilimali chache, tumepungukiwa rasilimali kwa 30% kuliko ilivyokuwa katika utawala uliopita kukabiliana na ongezeko kubwa la tishio la Jihadi. Amesema hayo katika mkutano ulioandaliwa na Baraza la Sera za Kigeni la Marekani uliyofanyika Februari 12, 2025, Washington, DC. Endelea kusikiliza….
#mkurugenzi #idara #ugaidi #serikali #marekani #sebastiangorka #tishio #jihadi #rasilimali #voa #voaswahili #donaldtrump #rais
12 Mar 2025
- Spain's government approved a bill on Tuesday imposing massive fines on companies that use content generated by artificial intelligence (AI) without properly labelling it as such, in a bid to curb the use of so-called "deepfakes".
12 Mar 2025
- Former Philippine President Rodrigo Duterte was arrested and taken into custody on Tuesday in Manila on an International Criminal Court warrant for the "war on drugs" that defined his term in office and which killed thousands of Filipinos.