Mpango wa miaka 4 waanzishwa Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    118 views

    Kitengo cha trafiki katika kaunti ya Trans Nzoia wameanzisha mipangilio ya miaka nne ya usalama barabarani, nia kuu ikiwa ni kupunguza kwa asilimia 50 visa vya ajali barabarani.