Mshambulizi Marion Serenge Aingia Katika Historia Kwa Kushiriki Michuano Ya Kombe La Dunia Ya FIFA

  • | TV 47
    25 views

    Mshambulizi Marion Serenge Aingia Katika Historia Kwa Kushiriki Katika Michuano Ya Kombe La Dunia Ya FIFA

    Mshambulizi machachari wa timu ya taifa ya akina dada ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17, Marion Serenge, ni baadhi ya wachezaji wanaosakwa na vilabu vya kimataifa.

    Chipukizi huyu aliingia kwenye madaftari ya kumbukumbu baada ya kushiriki katika michuano ya kombe la dunia ya FIFA mwaka huu.

    Ripota wetu Tony Kwalanda anatueleza safari ya soka ya nyota huyu.

    #TV47Wikendi #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __