Msiba wa Mambo Mbotela

  • | NTV Video
    168 views

    Ametangaza kwa zaidi ya miaka 50 humu nchini na kujivunia sifa kedekede kwa utangazaji bora wa kuleta mageuzi nchini.

    Sasa hayuko nasi tena ila kumbukumbu zake zitabaki daima dawamu. Mtangazaji nguli Leonard Mambo Mbotela amefariki akielekea kufikisha umri wa miaka 85.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya