Mutahi Kagwe,Lee Kinyanjui,William Kabogo wateuliwa kama mawaziri

  • | Citizen TV
    32,572 views

    Mutahi Kagwe amerejea kwenye baraza la mawaziri, miaka miwili baada ya kutoka. Kagwe aliyehudumu kama waziri wa afya kwenye serikali ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta sasa anarejea kama waziri wa Kilimo. Hebu tupate taarifa ya safari yake iliyoandaliwa