Mwanamke Bomba | Sheila Chepng'eno Nyikal ni msanifu mijengo nchini

  • | Citizen TV
    416 views

    Binti wa miaka 29 anahudumu kama msanifu mkuu Sheila husimamia nyumba zinazojengwa na serikali Pia ahusika na uchoraji wa masoko 50 Rift Valley