Mwanamke na bintiye wafariki baada ya kuruka kutoka garini

  • | KBC Video
    797 views

    Mwanamke wa umri wa makamo pamoja na bintiye walifariki leo alasiri baada ya kuruka kutoka kwenye gari moja lililokuwa likisafiri katika eneo la Kerugoya, kaunti ya Kirinyaga. Matatu hiyo yenye uwezo wa kuwabeba abiria-14 walimokuwa wakisafiria ilikumbwa na hitilafu za breki na ni miongoni mwa abiria waliokata kauli ya kuruka nje kupitia madirishani katika juhudi za kuepuka kuhusika katika kile kilichodhaniwa kuwa ajali ambayo haingeepukika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive